Update on C28 licence renewal

On the 23rd of January 2017 TATOA’s board sat for an internal meeting to discuss the issue of the C28 license fees which TATOA has been campaigning for a reduction since they were hiked last year from 20,000 Tsh to $200 USD. As the end of the month was...

Serikali ya Tanzania yaongeza muda wa matumizi wa C28/C40

Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) imewaongezea wasafirishaji wa Kitanzania muda wa mwezi mmoja kuendelea kutumia leseni zao za zamani za C28/C40 zilizomalizika muda wake wa kutumika Disemba ya mwaka 2016. Leseni ya C28/C40 inayokatwa na wasafirishaji kila mwaka ni leseni inayohitajika na wasafirishaji ili kuruhusiwa kusafirisha mizigo inayoelekea nchi...

TATOA yawasilisha maoni na kero kwa Raisi Lungu wa Zambia

Rais wa Zambia Mh. Edgar Lungu, aliwasili nchini tarehe 27 Novemba 2016 kwa ziara ya siku tatu. Katika maandalizi ya ziara hiyo, TATOA ilialikwa na serikali kwa ajili ya kutoa mchango wa maoni, ushauri na mapendekezo yatakayojadiliwa na kuwasilishwa kwa Mh Lungu. Kikao hicho kilihudhuriwa na Mwenyekiti wa TATOA...

Freight and Logistics Platform

Hivi karibuni sekta ya usafirishaji imekuwa ikikumbana na changamoto mablimbali pamoja na ongezeko la ushindani kutoka nchi jirani kama Kenya na Msumbiji. Ili kuwezesha sekta hii iweze kukua na kuendelea, ni dhahiri kwamba Tanzania inahitaji mpango mkakati utakaoshirikisha wadau wa sekta binafsi na watunga sheria kuwezesha kutatua vikwazo vya...

Freight and Logistics Platform

The Tanzania logistics industry has recently been facing an increased amount of challenges together with increased competition from neighboring countries like Kenya and Mozambique. In order for the industry to survive and continue to grow and prosper, it is evident that Tanzania needs a coordinated effort between private sector...

Mrejesho wa Mkutano Mkuu wa TATOA

Tarehe 22/10/2016, Chama cha Wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA) ilifanya mkutano wake mkuu wa mwaka. Katika kikao hicho, wanachama wa TATOA walikutana kuongelea hali ya sekta ya usafirishaji, maswala mbalimbali yaliyoiathiri sekta hiyo kwa mwaka mmoja uliopita pamoja na kuweka mipango kwa ajili ya mwaka unaokuja. Kikao kiliongozwa na...