Taarifa kwa wanachama kuhusu magari yaliyokamatwa Zambia

Ndugu wanachama tumepata taarifa ya magari zaidi ya 200 ya baadhi ya wanachama wetu kushikiliwa na mamlaka ya serikali ya Zambia katika maeneo mbalimbali inchini humo. Inasemekana magari hayo yalikuwa yamebeba magogo ya Mbao kutoka nchi ya Kongo na Mengine kutoka Zambia. Kama mnavyofahamu serikali ya Zambia ilishapiga marurufuku...