Mrejesho kuhusu swala la C28

Tarehe 23/1/2017 bodi a TATOA ilikaa kwenye kikao cha ndani kuzungumzia swala la tozo ya C28 ambayo TATOA imekuwa ikitaka zishuswe tangia zitangazwe kuongezwa kutoka Tsh 20,000 mpaka $200 USD. Bodi, ikizingatia kwamba mwisho wa mwezi wa kwanza ulikuwa umekaribia na hivyo mwisho wa nyongeza ya muda iliyotolewa na...

Update on C28 licence renewal

On the 23rd of January 2017 TATOA’s board sat for an internal meeting to discuss the issue of the C28 license fees which TATOA has been campaigning for a reduction since they were hiked last year from 20,000 Tsh to $200 USD. As the end of the month was...

Serikali ya Tanzania yaongeza muda wa matumizi wa C28/C40

Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) imewaongezea wasafirishaji wa Kitanzania muda wa mwezi mmoja kuendelea kutumia leseni zao za zamani za C28/C40 zilizomalizika muda wake wa kutumika Disemba ya mwaka 2016. Leseni ya C28/C40 inayokatwa na wasafirishaji kila mwaka ni leseni inayohitajika na wasafirishaji ili kuruhusiwa kusafirisha mizigo inayoelekea nchi...