Rwanda yaridhishwa na utendaji wa bandari ya Dar es Salaam

Katika taarifa iliyotolewa na taasisi ya Central Corridor Transit Transport Facilitation Agency (CCTTFA), ujumbe kutoka Rwanda uliotembelea Tanzania hivi karibuni umeridhishwa na hatua zilizochukuliwa kuimarisha mazingira ya kufanya biashara nchini Tanzania. Ujumbe huo ulifurahishwa zaidi na hatua zilizochukuliwa katika bandari ya Dar es Salaam na ilikutana na wdau mbalimbali...

Rwanda satisfied with Dar port performance

According to a statement released by the Central Corridor Transit Transport Facilitation Agency (CCTTFA), a delegation from Rwanda that visited the country recently has been satisfied with steps taken to improve the environment of doing business in the country. The delegation was particularly impressed with conditions at the Dar...

Sekta ya usafirishaji yapunguza kasi ya ukuaji

Kasi ya ukuaji wa sekta ya usafirishaji nchini Tanzania katika miezi sita ya kwanza ya mwaka 2016 imepungua ikilinganishwa miezi sita ya mwisho ya mwaka jana. Hii ni kulingana na ripoti iliyotolewa na Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS) ikishirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BOT). Ripoti hiyo inaonyesha...

Growth slows down for the transportation sector

Tanzania has seen a decline in the growth of the transport sector in the first quarter of this year when compared to the last quarter of the previous year. This is according to a recent report released by the Tanzania National Bureau of Statistics (NBS) and the Bank of Tanzania (BOT)...

Wabunge washauri kupitiwa upya Himaya ya Umoja wa Forodha

Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeishauri serikali kupitia upya makubaliano ya Himaya ya Umoja wa Forodha iliyonayo na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) inayohusisha ulipaji wa kodi wa mizigo ya DRC inayopitia bandari ya Dar es Salaam. Kwa utaratibu uliowekwa na makubaliano hayo, mizigo yote inayokwenda DRC kupitia bandari...

Revisit DRC’s single customs territory agreement, MP’s advise

The Tanzania Parliamentary Standing Committee on infrastructure development has advised the government to revisit its Single Customs Territory agreement between itself and the government of The Democratic Republic of Congo. Under the agreement covering the clearance of goods passing through Tanzania’s ports, all assessment and revenue collection for goods passing...