Implementation of EAC Authorized Economic Operators Program

INTRODUCTION Tanzania Revenue Authority wishes to inform the business community that in a bid to promote faster clearance of goods through Customs within the region, the Authorized Economic Operator (AEO) program was introduced to enable compliant traders to benefit from a special treatment at the regional level throughout the...

VAT on ancillary transit cargo handling

The past few months have seen a lot of discussion among various stakeholders of the logistics industry in Tanzania regarding the 2014 VAT act that became operational in July 2015. The new Act introduced fundamental changes including introduction of VAT to be charged on transit goods ancillary services. The...

Swala la tozo la VAT kwenye mizigo ya Transit

Miezi ya karibuni kumekuwa na mijadala mbalimbali kati ya wadau wa bandari kuhusu sheria ya VAT ya mwaka 2014 iliyoanza kufanya kazi mwezi wa Saba 2015. Sheria hiyo mpya imejumuisha mambo megi mpya kwenye sekta ikiwemo kuanzishwa kwa Kodi la Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye shughuli za kuhudumia mizigo...

Commercial hub, dry port planned for Dodoma

The Tanzania government plans to build a commercial hub and dry port in the capital town of Dodoma. This was revealed by the Prime Minister Mr Kassim Majaliwa while talking during the laying of a foundation stone for upgrading work of the Dodoma airport. The Premier instructed responsible authorities...

Bandari kavu, kitovu cha biashara vyapangwa kujengwa Dodoma

Serikali ya Tanzania inapanga kujenga kitovu cha bishara pamoja na bandari kavu katika mji mkuu wa Dodoma. Mipango hiyo ilidhihirishwa na Waziri Mkuu wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa wakati akizungumza katika hafla ya kuweka jiwe la msingi wa upanuzi wa kiwanja cha ndege cha Dodoma. Waziri Mkuu alitoa agizo...

Tanzania secures loan for 2190 km Standard Gauge Railway

The Tanzania government is to start construction of a 2,190-kilometer standard gauge railway after securing a loan from Exim Bank of China. The 7.6 billion USD loan will help build a standard gauge railway connecting Tanzania to its land locked neighbors including Rwanda, Uganda, Burundi and The Democratic Republic...

Tanzania yapokea mkopo wa kujenga km 2190 za reli

Serikali ya Tanzania itaanza ujenzi wa reli ya Kilomita 2,190 kwa kiwango cha standard gauge baada ya kupata mkopo  kutoka Benki ya Exim ya nchini China. Mkopo huo wa Dolla za Kimarekani Bilioni 7.6 utasaidia kujenga reli hiyo katika hadhi ya standard gauge itakayoiunganisha Tanzania na nchi jirani za...