TATOA YAHUDHURIA MKUTANO WA BIASHARA KATI YA OMAN NA TANZANIA

Jumatano ya tarehe 13 mwezi wa nne 2016, TATOA ilihudhuria mkutano wa kibiashara kati ya Oman na Tanzania ulilofanyika katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Mkutano huo uliandaliwa kwa nia ya kutengeneza jukwaa kwa ajili ya sekta ya biashara nchini Tanzania kuweza kukutana, kujadiliana na kutengeneza...

OMAN – TANZANIA BUSINESS FORUM

On Wednesday 13th of April 2016 TATOA attendance an Oman – Tanzania business forum that took place at  Hyatt Regency Dar es Salaam. The forum was organized to create a convenient platform for the business community in Tanzania to meet, share experiences and establish business relations with the Omanis businesses community...

TATOA COMMENTS ON PROPOSED AMENDMENTS TO LOCAL AUTHORITY TAX LAWS

On Wednesday the 13th of April 2016 TATOA joined other stakeholders representing key sub sectors of the economy to attend a meeting organised by the President’s Office – Regional Administration and Local Government Authorities (PO-RALG) to discuss amendments to laws governing local government finance and tax rates. The proposed amendments are aimed at...

TATOA yakutana na TPSF na Kamati ya Bunge ya Bajeti

Jumatatu ya tarehe 4 mwezi wa nne 2016, TATOA ilipata mwaliko kutoka Tanzania Private Secor Foundation (TPSF) na Kamati ya Bunge ya Bajeti kuhudhuria kikao cha kuongelea kodi mbalimbali ambazo zimekuwa zikiirudisha nyuma sekta ya usafirishaji nchini. TATOA kama ilivyo kawaida yake kwenye mikutano yote ya aina hiyo, iliwasilisha andiko lililoorodhesha changamoto zinazoikabili sekta ya...

Mtizamo wa TATOA juu ya kushuka kwa idadi ya mizigo bandari ya Dar-Es-Salaam

Katika miezi ya karibuni Tanzania imeshuhudia kushuka kwa kiasi kikubwa kwa kiwango cha mizigo inayopita bandari ya Dar es Salaam hususan mizigo inayopitishwa kwenda nchi za jirani. TATOA imechunguza na kutafakari sababu zinazosababisha kushuka huko kwa kiwango cha mizigo na imegundua sababu zifuatazo; 1. Kutotangazwa vizuri kwa bandari ya Dar-Es-Salaam na wahusika Bandari...

TATOA meets TPSF and the Parliamentary Budget Committee

On Monday, the 4th of April 2016, TATOA was invited to attend a meeting by the Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) and the Parliamentary Budget Committee to discuss various taxes within the business community that impinge on the transport sectors business. As in several occasions before, TATOA submitted a write up...