Taarifa kwa wanachama kuhusu magari yaliyokamatwa Zambia

Ndugu wanachama tumepata taarifa ya magari zaidi ya 200 ya baadhi ya wanachama wetu kushikiliwa na mamlaka ya serikali ya Zambia katika maeneo mbalimbali inchini humo. Inasemekana magari hayo yalikuwa yamebeba magogo ya Mbao kutoka nchi ya Kongo na Mengine kutoka Zambia. Kama mnavyofahamu serikali ya Zambia ilishapiga marurufuku...

Ujumbe toka DRC wafurahishwa, utendaji kazi wa Bandari

Ujumbe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ulifanya ziara katika Bandari ya Dar es Salaam mapema wiki iliyopita na kelezea kuridhishwa kwake na uendeshaji wa shughuli katika bandari hiyo. Akizungumza wakati wa ziara hiyo, mkuu wa ujumbe huo, Gavana wa jimbo la Katanga nchini DRC, Jean Claude Kazembe...

Kituo cha pamoja cha forodha Tanzania – Zambia chazinduliwa

Kituo cha pamoja cha forodha cha mpaka ulioanzishwa kati ya Tanzania na Zambia na kuanza operesheni tokea Februari 1 2017 katika mpaka wa Tunduma-Nakonde utapunguza na kukuza biashara kati ya nchi hizo mbili, viongozi waandamizi wa nchi hizo mbili wameeleza. Nchi hizo mbili tayari zimeshasaini makubaliano ya namna umoja...

Mkataba wa ujenzi wa Bandari Kavu, Ruvu wasainiwa

Tarehe 14 Februari 2017, Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ilisaini mkataba na kampuni ya SUMA JKT ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa ajili ya ujenzi wa Bandari Kavu (ICD) yenye ukubwa wa hekta 500 Ruvu mkoani Pwani. Mrradi unaotarajiwa kuanza mapema mwezi ujao unatarajiwa kuchukua wiki 9 kukamilika kwa...

Mrejesho kuhusu swala la C28

Tarehe 23/1/2017 bodi a TATOA ilikaa kwenye kikao cha ndani kuzungumzia swala la tozo ya C28 ambayo TATOA imekuwa ikitaka zishuswe tangia zitangazwe kuongezwa kutoka Tsh 20,000 mpaka $200 USD. Bodi, ikizingatia kwamba mwisho wa mwezi wa kwanza ulikuwa umekaribia na hivyo mwisho wa nyongeza ya muda iliyotolewa na...